![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Wasiwasi wazidi kutanda Moro
Agizo la Ofisi ya Elimu
ya Manispaa ya Morogoro linalowaagiza walimu wakuu wa Shule za Msingi watume
majina ya wanafunzi Wakatoliki wa darasa la saba, limeendelea kuibua wasiwasi
na hisia tofauti miongoni mwa wananchi nchini. ...Endelea
Mama Chuki asema Waziri hakusema kweli
Na Mwandishi Wetu
MADAI ya Waziri wa Mambo ya Ndani, Mh. Ali
Ameir aliyoyatoa bungeni hivi karibuni kwamba mwanafunzi Chuki Athumani
alikamatwa na makaratasi ya uchochezi yamekanushwa.
...Endelea
Vigogo wahusishwa na madawa ya kulevya Z'bar
Na Mwandishi Wetu
Wabunge kutoka Zanzibar wameitaka Wizara ya Mambo ya Ndani kuwafichua vigogo na watu wazito katika jamii wanashiriki katika biashara ya madawa ya kulevya kuliko kuhangaika na vijana wa mtaani, huku wanaowapa madawa hayo wakiachwa. ... Endelea
TAHARIRI
Maoni yetu: Umakini wa Wabunge unatia wasiwasi AGIZO LA MANISPAA KUPEWA MAJINA YA WANAFUNZI WA
KIKATOLIKI
Madai ya Ali Ameir kuhusu Chuki yakanushwa
Mwanamuziki Nyota CAT STEVENS asimulia alivyosilimu Watakiwa kuacha kuwatuma watoto mitaani
Kijana wa Kibarbaig aliyejitolea kupigania dini
yake
'Waislamu wenye sisa kali'
MAKALA: Maisha ya ndoa kwa Muislamu - 2
Mjibuni Mwinjilisti Kusupa msitukane
Vigogo wahusishwa na madawa ya kulevya Z'bar
Da’awa Handeni yashika kasi
Kongamano la vijana wa Kiislamu Masjid
Nuur Dar
Mashairi - uzawa wa Mtume (S.A.W) |
|
![]() |