An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania ISSN 0856-3862 Na.177 Shaaban 1419, Novemba 27 - Desemba 3, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Kesi ya kushambulia kituo yaahirishwa tena
  KESI ya tuhuma ya kushambuliwa Kituo Kidogo cha Polisi cha Msisiri kilichopo Mwananyamala ‘A’, Jijini Dar es Salaam iliyofunguliwa na serikali dhidi ya Waislamu sita imeshindikana tena kuanza kusikilizwa kama ilivyotarajiwa kutokana na mashahidi wa upande wa serikali kutofika mahakamani kwa mara nyingine tena.  Endelea
 
Urambo wamlilia Profesa Lipumba
  Na Mwandishi Wetu

HABARI kutoka Tabora zimeeleza kwamba wananchi wa Urambo wanatafuta taratibu za kuwasiliana na Profesa Ibrahim Lipumba ili awakwamue na hali inayowakabili sasa.

Wananchi hao hasa wakulima wa tumbaku wamedai kwamba CCM na Serikali yake mkoani Tabora badala ya kuwatetea wamekuwa wakiyaunga mkono makampuni ya biashara ambayo mwelekeo wake ni wa kuwanyonya wananchi. Endelea..


YALIYOMO
 
Tahariri
Hii siyo Demokrasia ni fedheha

Urambo wamlilia Profesa Lipumba
Na Mwandishi Wetu

Sheikh aridhia Waislamu kubatizwa
Na Rajab Rajab, Morogoro

Zanaki kupiga marufuku Hijab?

Uongozi Masjid Qadiria waitwa Polisi kuhojiwa

Wakazi wa Mbagala Msalabani kuishitaki Tume ya Jiji

Wasemavyo wanaharakati

Akhera ipo, makafiri ni wakadhibishaji
Na Abubakar Marwilo

Mdahalo kati ya Waislamu na Wakristo ni mgumu
Na Elia Batendi

Aina ya maudhi yaliyoharamishwa juu ya Muislamu

PAROLE:   Rais kasusa au hana ubavu?
Na Bisura Waziri Nyello

Serikali ikithamini kilimo
Na Abdallah Ahmad Seif

Umuhimu wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo - 3
Na Ustaadh Kupa Pazi Said

Madrasa Arrijalu Muswallin Damba

Ijue Madrasat Fauzia - Kibondo

Waislamu  Kondoa waanza kupokea misaada ya ujenzi wa Msikiti, Madrasa
Na Abu Zubeir, Dodoma

Waislamu Dodoma wasali sala ya Ghaib kwa marehemu Kilima na mkewe

Songea kujenga shule ya sekondari

Wanafunzi wa Bihawana Dodoma wamshukuru Alhaj Ismail Dawood

Mashindano ya kusoma Qur’an yafanyika Kondoa

Waislamu wautazame upya mfumo wao wa elimu

Ujenzi wa Chuo cha Kiislamu Shamsiya Bereko wakwama

Kesi ya kushambulia kituo yaahirishwa tena

Polisi waondolewa kimya kimya Mwembechai

Msikiti wa Kiwanja cha Ndege wapania kujenga shule

Sayansi na Teknolojia
[Kwenye Kompyuta RAM ni kitu gani?]

Mafundisho ya Quran
[Kutoa Sadaka kwa siri]

Masomo ya Dini ya Kiislamu 
[Historia: Form IV: Uendeshaji wa Serikali ya Kiislamu wakati wa Makhalifa

Barua za Wasomaji 
[Mabadiliko ya Katiba Tanzania] [Wakubwa ‘wanapokopeshwa’ na walalahoi] [Waislamu tusiwe makondoo] [Tatizo la maji Newala halijapatiwa uvumbuzi] [Swadaka kwa wasomaji AN-NUUR Kanda ya Kusini Lindi na Mtwara]

Mashairi 
[AN-NUUR  mjumbe mwema] [Ilaniwe Marekani

Chakula na lishe 
[Madini ya chuma] 
 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book