AN-NUUR 
Na.177 Shaaban  1419, Novemba 27 - Desemba 3, 1998 
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
Wasemavyo wanaharakati

Zainabu al-Ghazali: 

Mahakama zilizoundwa kwa misingi ya kadhalimu, hukumu zake pia zitakuwa za kidhalimu. Ninyi ndio mmeshika njia ya uadilifu na ndio mnaostahiki kuongoza. Wewe binafsi kuwa mvumilivu na mwenye subira na wausie wenzio wawe hivyo hivyo. 

Lazima ustaajabu, ni vipi niliweza kuishi siku sita mfululizo bila kula, kunywa wala kwenda haja! Niliweza kunusurika kwa sababu moja tu, Imani thabit. Imani humuwezesha mtu kukabiliana na misukosuko yote ya madhalimu. 

Kinachotakiwa ni kujenga mazingira yatakayoondoa ile hali ya kuongozwa na kiongozi jahili, dhalimu na mwenye mamlaka yasiyodhibitika..." 

Siku umma wa kiislamu utakapozinduka, ndipo maovu yote yatakapofikia ukomo.... jamii itaondokana na mambo ya kudhalilisha." 


Muhammad M. Assaddawy: 

Hazikuwepo sheria ila kwa madhumuni ya kuyatengeneza mambo yaliyoharibika kati ya watu. 

Kuzidiana watu kwa ubora ni kwa matendo mema, na kutukuka kwao, ni kwa usafi wa nyoyo zao. 

Mabadiliko yalipatikana wakati ilipokuwa Qur’an ndiyo mwongozo. 

Kwa sababu roho inatoka mbinguni ni lazima chakula chake kitoke mbinguni. 

Msingi wa maisha ‘na nguzo yake’ ni kumwamini Mwenyezi Mungu kwa ukamilifu. 

Dini ipo kwa ajili ya misingi mitatu: (1) Uhusiano wa mja na Bwana wake. (2) Uhusiano wa mja na nafsi yake. (3) Uhusiano wa mja na wanaadamu wenzake. 

Hatamu za mbingu na ardhi zimo mikononi mwa Mwenyezi Mungu. 
 
 

Juu 
 

YALIYOMO 
 

Tahariri
Hii siyo Demokrasia ni fedheha

Urambo wamlilia Profesa Lipumba
Na Mwandishi Wetu

Sheikh aridhia Waislamu kubatizwa
Na Rajab Rajab, Morogoro

Zanaki kupiga marufuku Hijab?

Uongozi Masjid Qadiria waitwa Polisi kuhojiwa

Wakazi wa Mbagala Msalabani kuishitaki Tume ya Jiji

Wasemavyo wanaharakati

Akhera ipo, makafiri ni wakadhibishaji
Na Abubakar Marwilo

Mdahalo kati ya Waislamu na Wakristo ni mgumu
Na Elia Batendi

Aina ya maudhi yaliyoharamishwa juu ya Muislamu

PAROLE:   Rais kasusa au hana ubavu?
Na Bisura Waziri Nyello

Serikali ikithamini kilimo
Na Abdallah Ahmad Seif

Umuhimu wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo - 3
Na Ustaadh Kupa Pazi Said

Madrasa Arrijalu Muswallin Damba

Ijue Madrasat Fauzia - Kibondo

Waislamu  Kondoa waanza kupokea misaada ya ujenzi wa Msikiti, Madrasa
Na Abu Zubeir, Dodoma

Waislamu Dodoma wasali sala ya Ghaib kwa marehemu Kilima na mkewe

Songea kujenga shule ya sekondari

Wanafunzi wa Bihawana Dodoma wamshukuru Alhaj Ismail Dawood

Mashindano ya kusoma Qur’an yafanyika Kondoa

Waislamu wautazame upya mfumo wao wa elimu

Ujenzi wa Chuo cha Kiislamu Shamsiya Bereko wakwama

Kesi ya kushambulia kituo yaahirishwa tena

Polisi waondolewa kimya kimya Mwembechai

Msikiti wa Kiwanja cha Ndege wapania kujenga shule

Sayansi na Teknolojia
[Kwenye Kompyuta RAM ni kitu gani?]

Mafundisho ya Quran

Masomo ya Dini ya Kiislamu 

Barua za Wasomaji 

Mashairi 

Chakula na lishe 
[Madini ya chuma]

 

   Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu: Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita