|
|
|
• Kutazama Kanda ya mauaji ya Mwembechai saa nane na nusu mchana mpaka saa kumi kamili (8:30 - 10:00). • Kujadili Kadhia ya Mwembechai saa 10:30 - 12:30 IJUMAA:12/02/1999 mkutano wa akinamama mara baada ya swala ya Ijumaa. • Kutazama kanda ya mauaji ya Mwembechai • Kupokea taarifa ya kamati ya akinamama JUMAMOSI: 13/02/1999 Siku ya waliouawa Waislamu baada ya adhuhuri mpaka Magharibi • Mkutano wa Waislamu wote • Kutazama kanda za mauaji • Kutafakari mauaji haya na nini kifanyike juu ya hali hii na matatizo mengine kama vile nyumba za WAKFU kuporwa na Wakristo n.k. • Maazimio • Dua kwa mashujaa wetu Mikutano yote itafanyika katika Msikiti wa Mtambani - Kinondoni Dar es Salaam. NB: Ni muhimu kufika kwa wakati Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania (BARAZA KUU) limeandaa Khitma ya kuwaombea dua (Khitma) na kuwakumbuka mashahidi katika Uislamu waliouawa Mwembechai siku ya tarehe 13/2/1998. Khitma zifanyika kama ifuatavyo: IJUMAA 12/2/1999 Baada ya swala ya Alasiri katika Msikiti wa Tanzania Islamic Centre Morogoro/Kawawa Road Magomeni Mapipa. Jumamosi 13/2/1999 baada ya swala ya alasiri katika Msikiti wa Tungi Temeke Mtaa wa Ndalala. Jumapili 14/2/1999 baada ya swala ya alasiri katika Msikiti wa Ijumaa Mtaa wa Arusha Ilala. |
YALIYOMO
Tahari
Matokeo ya mitihani darasa la saba serikali ieleze: Je, Waislamu ni taahira au kuna agenda ya siri Wenye siasa za kikaburu wasimyumbishe Rais Hatuko tayari kuruhusu viwanja viporwe - Manyema Maoni yetu
DONDOO ZA KISAIKOLOJIA: PEDOPHILIA Uislamu na Mazingira katika
Umoja wa Mataifa
Barua za Mtume (s.a.w.) za Jihad katika
Internet
Rais Mkapa atekeleze hadi yake
kwa hadhari
Mashirika ya Dini yaelekeze
misaada vijijini
Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma Ni serikali ipi anayoiwakilisha
Sumaye
Sehemu ya maelezo ya Waziri Mkuu bw. Frederick Sumaye bungeni Zanzibar ni nchi au mkoa?.
Sheikh Bafadhil aamuru kusimamishwa shughuli za African Muslim Agency Moro Vijana Arusha njooni mnione - Alhaj Mollel Waislamu Korelo wazama kwenye ushirikina Waislamu Hanang’ wajenga Msikiti Sayansi na Teknolojia
Chakula na Lishe
|