An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 187 Shawwal 1419, Februari 5 - 11, 1999
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Matokeo ya mitihani darasa la saba serikali ieleze:
Je, Waislamu ni taahira au kuna agenda ya siri
  SERIKALI imetakiwa ieleze ni sababu zipi zinazopelekea watoto wa Kiislamu wanaochaguliwa kwenda kidato cha kwanza wawe wachache sana ikilinganishwa na idadi ya watahiniwa.

Akizungumza Bungeni Februari 2, 1999 Mbunge wa Kigamboni Mh. Kitwana Kondo alisema kwamba kwa mwaka 1998 watoto Waislamu waliofanya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mkoa wa Dar es Salaam walikuwa asilimia sabini na moja (71%) wakati Wakristo walikuwa 29% ya watahiniwa wote. Endelea...

[Pia, soma: Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma]


YALIYOMO
Tahari 
Mauaji ya Mwembechai; Mh. Rais apewe kanda

Matokeo ya mitihani darasa la saba serikali ieleze: Je, Waislamu ni taahira au kuna agenda ya siri

Hijab ivaliwe shuleni

Wenye siasa za kikaburu wasimyumbishe Rais

Hatuko tayari kuruhusu viwanja viporwe  -   Manyema

Maoni yetu
Kauli ya Waziri Mkuu Bungeni: Tumsikilize nani?

DONDOO ZA KISAIKOLOJIA: PEDOPHILIA

Mjue Usama bin Ladin -3

Uislamu na Mazingira katika Umoja wa Mataifa
Na Dk.  Wahid

Barua ya wazi kwa Rais Mkapa

Barua za Mtume (s.a.w.) za Jihad katika Internet
Na. Zituzzaman Hoque

Kutoka magazeti ya zamzni
[Upinzani ni kulaumu serikali isipotimiza ahadi] [Kundya atajiuzulu TUPE?]

Rais Mkapa atekeleze hadi yake kwa hadhari
J.R. Msuya, Moshi

Mashirika ya Dini yaelekeze misaada vijijini
Na KAWELE  SAIDI 

Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma

Ni serikali ipi anayoiwakilisha Sumaye
Na Abu Salim

Sehemu ya maelezo ya Waziri Mkuu bw. Frederick Sumaye bungeni

Zanzibar ni nchi au mkoa?.
Na SALUM ALI 

Sheikh Bafadhil aamuru kusimamishwa shughuli za African Muslim Agency Moro

Vijana Arusha njooni mnione - Alhaj Mollel

Waislamu Korelo wazama kwenye ushirikina

Waislamu Hanang’ wajenga Msikiti

Sayansi na Teknolojia 
[Jifunze ‘Kubana’ Majalada] 

Masomo ya Kiislam 
[Historia: Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Tatu Uthman bin Affan] 

Barua za Wasomaji 
[Fatwa Masheikh kususia mazishi] [Nampongeza Sheikh Yahya Mohammed] [Waislamu tujikomboe] 

Chakula na Lishe 
[Ni hatari kuwaambia wananchi wasichague chakula] 

Kumbukumbu ya mauaji Mwembechai
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK 
fbk book