|
Na. 036 Jumatano Februari 23 - 29, 2000 |
|
|
|
|
|
Suala la Mwembechai lazua mtafaruku
MKUTANO kati ya Waislamu na Jumuiya ya Vijana wa Kiislamu nchini (TYMA) Jumapili iliyopita ulishindwa kuendelea kama ilivyokusudiwsa nawaandajiwake baada ya Waislamu waliohudhuria mkutano kuutuhumu kuwa ulikuwa na daliliza kutaka kuwatumia Waislamu kwa manjufaa ya maadui wa Waislamu. Katika mkutano huo ulioandaliwa na TYMA na kufanyika katika ukumbi wa Starlight uliopo jijini Waislamu walionekana kukasirishwa na kauli za viongozi wa TYMa "kuwaoyapa makafiri" na pia kuwepo masheikh wanasodaiwa kujihusisha na Bakwata. Akiongea katikamkutano huo, Katibu wa TYMA Bw.Burhan Mtangwa alihimiza umojamiongoni mwa Waislamu na kuwataka Waislamu wamtumie hirizi wao hala nchini kwa manufaa yaumma wa Kiislam. Mzozoulinaza pale Bw. Mtangwa alipotabiri aya moja ya Qur-an kwa lengo la kusisitiza mshikamano wa Waislamu. Katika tafsiri yake hiyo Bw. Mtangwa alihubirikifungu cha maneno watuwa dini nyingine." Kutafsiri neno la KiarabuKufar badala ya kulitafsirineno hilo kuwa ni "makafiri." "Ustaadh (mwalimu) wetu tulimwelewa ni mtu mwenye msimamo... lakini kitendohiki cha kutoa tafsiri aitakeye yeye ili asiwaudhi makafiri kinatutia wasiwasi" alisikika akilalamika kijana mmojaambaye alisema kwa Bw. Mtenjwa aliwahi kuwa mwalimu wake. Kijana mwingine akiilaumu tafsiri hiyo ya Bw. Mtangwa alidai kwsamba hiyo ni kuwakilisha hisia za makafiri. Hofu ya vijana hao na Waislamu wengine waliohudhuria katika mkutano na madai kuwa TYMA, ambayo inamiliki shule ya sekondari hapa jijini, imekuwepo kwa muda mrefu, lakini katika kipindichote hicho haijawahi kuwakusanya e kuwaombawajiinge katikajumuiyahiyo napia kutaka mshikamano miongoni mwa Waislamu. Wamedaikuwa 'mwamko' huu TYMA wameupata wapi. "TYMA wapo siku nyingi(tangu ianzishwe), na wana shule yao lpale uwanja wa Taifa (ambayo) siku zote ina matatizo lakinihawajatakamshikamano wetu, sasa leomwako huuwa mshikamano umetoka wapi", alisema Bwana Abdulwahid Mshamu ambnulishakuwa ni mwalimu wa madrassa Temeke mwisho. Huko nyuma jumuiya hii iliwahi kushutumiwa Bw. Mengi ambaye ni Mkristo, alipowatembelea TYMA katikka shule yao iliyopokaribu na Uwanja wa Taifa, Temeke jijini hapa, aliwashutumu kwa kuwa katika mazingira yasiyopendeza. Waliosikilishwa na kauli hiyo waliitafsiri kuwa na masimangoyaliyotolewa kwa chuki za kidini kwa sababu Bw. Mengi yupo karibu na vyombo vya habari amabvyo umewahi kutuhumiwa aya Waislamu. Iliwahi kudaiwa kwamba moja ya magazetiyaliyo chini ya kundi la makampuni ya IPP ambaye Bw. Mengi ndiye mwenyekiti wake lilichapisha makala iliyolitukana vazila hijab. Kadhalika hivi karibunimoja ya magazetihayo limechapishamakala dhidi ya Waislamu kwamba "wameenea Rufuji na kuleta wingi wa dhana." Kutokana na kile kilichodaiwa 'TYAMA kukosa msimamo, Waislamuwaliosimama kuzungumza katikamkutano huo wa Februari 20 walimtakakatibu huyowa TYMA, ikiwa leoamekuja kutafuta TYHMA kuungwa mkono aneleza msimamo wa jumuiya yake kuhsu kadhiamzimaya Mwembechai jambo ambalolinaonesha kuleta mshikamano miongoni mwa Waislamu wote. Msemaji wa TYMA katikamkutano ule alikataa kusema lolote juu ya kdhia ya Mwembechai kwa ikamkutano ule hapakuwa "....nduguzangu Waislamu jambo hili (la Mwembechai) hapa simahali pake..." alisema. Jibu hilo liliwakera zaidi Waislamu na kuanza kuhoji uhalali wa kuwepo katika meza kuu mmoja wa masheikh waliokabidhdiwa uongoziwa Mlsikiti wa Mwembechai na serikali baada ya Waislamu ku8uawa katika msikiti huo wa hapa jijini. "Tuambieni...kwa nini huyo (Sheikh wa Mwembechai) yupo hapo, waliokabidhiwa msikti wetu na serikali ukiwa unanuka damu ya ndugu zetu na wao wakati amari ya Serikali kutofanya mihadhara ya kueneza neno la Mungu. Watu wabaya isa hawa... wamesababisha Waislamu kuususa msikiti ule", alisema Bwana mmoja wa makamu kwa sauti ya ukali huku wazee wengine wawili wakijaribu kutuliza kwa kumvuta kanzu aliyekuwa ameivaa. Mauaji ya Mwembechai yaliyotokea Februari 1998 baada yaPolisi kuwafyatulia risasi Waislamu waliokuwa wamekusanyika katika msikitihuo. Taarifa iliyotolewa na serikali baadaye ilisema kuwa wawili waliuawa na wengine kadhaa walishikiliwa na polisi. Aidhjalkiuwepo kwa masheikh ambao Waislamu hao wanadai ni masheikh wa Bakwata kulizidi kutibua hali ya mambo katika mkutano huo. Masheikh hao ni Hamid Jongo na Msikti wa Manyema, Mtuwa naSheikh nataka ambaye hakufahamika jina lake lakini ilisemekana kuwa ni mtu mwenye wadhifa katika chama tawala cha CCM, mmgawa nao haikuelezwa wadhifa huo ni katika ngazigani. Waislamu katika mkutano hu uliofanuyika wiki moja tu baada ya kumbukumbuya Mauaji ya Mwembecahai,. Februari 13, hawakuweza kustahim,ili kumwuona SheikhJongo alisema Qur'an hali ambayo ilimfanya Imam huyo wa Msikiti wa Manyema, asiweze kuendelea kusoma Qur'an. Wanatuletea masheikh wa Bakwata... watatuambia nini Waislamu wa nchi hii? Madhila mangapi tumefanyiwa wao hawasomi kitu utadhani tunaoumizwa ni Mayahudi (Wauyahudi)", alisikikaakilalamika kijana mmoja. Kwa mujibu wamfundisho ya Uislamu, Wayahudi ni maadui wa Waislamu kwa vile hawapendi "mila" (dini) nyingine zaidi dya huyo ya kwaoienee ulimwenguni. Zipo sababu kadhaa zilizopelekea Bakwata kutokubalika mbele ya Waislamu ikiwemo madai kwamba Bakwata ilianzishwa kwa sinikizola Serikali baada ya kuvunjwa Jumuiya ya Ustawi wa Waislamu wa Afrika Mashariki (EAMWS), ambapo mali za jumiuiya hizo zikiwemo shule na majengo ya ghorofa ya Waqfa, zilikabidhiwa kwa Bakwata. Imekuwa ikidaiwa kuwa Bakwata imeshindwa kuzisimama vema mali hizo tangu zikabidhiwa kwake kiasi kwamba Bakwata imeshindwa hata kuendesha mikutanmo na hiyo kulazimika kuchangiwa fedha na kanisa. Waislamu wameendelea kudai kuwa hali hiyo ya Bakwata kuundwa na serikali na kuendesha ano yake kwa michango ya kanisa iliwsafanya Waislamu wajitenge nayo. "Mwenye kumlipa mpiga zumari ndiye huachagua wimbo...."alisema mama mmoja nje ya ukumbi wa Starlight na kisha kuongeza katika methali yhake hiho, "sasa ikiwa Bakwata ilipewa pesa na Makanisa, unadhani (Bakwata) watafanya kazi ya nani?" Ili kupoza mambo katika mkutano huo wsa kwanza wa ainayake kuandaliwa na TYMA kionvozi wa jumuiya hiyo hawakuwa najinsi ila kuwaondoa masheikhe hao waliodaiwa kuwa na wa Bakwata. Wakiendelea kutoa shutuma zao dhidi ya kuwepo katika mkutano huo "masheikh wa Bnakwata" na "Sheikh mwenye wadhifa ndani ya CCM". Waislamu walisema chama tawalacha CCM kimekuwa kikiwashutumu Waislamu kuwa ni wananchji dhalilikatikauwanja wa siasa, ni watu wa kuhongwa kanzu, vikoi, kanga, kofia (vibandiko). Shutumu hizo zilizodaiwa kutolewa naviongozi wa ngazi za juu yza CCM na kuripotiwa na vyombo vya habarihapa nchini zililaumiwa na jumuiya mbali mbali za Waislamu lakini Bakwata ilikaa kimya. "Hii CCM juzi juzi tu hapa imetutukana mchana kweupe.... Etisisi ni dhalili katika medaniya siasa ndiyo maana tunahongwa kanzu na vikoi, vibandikona khanga... lakini Bakwata hawakuyaona matusi haya", alisema Bwana mmoja aliyejitambulisha kuwa ni Maalim Khamis kwa Gongo la Mboto. Iliendelea kudaiwa kuwa ingawa wananchi wanayo haki ya kujiunga nachama chochote chasiasa bila kujalidini zao, kitendo cha Waislamu waliona Bakwata ambao pia ni wana-CCM kukaa kimya juu ya kauli hizo za 'efedhuli" za viongozi wa CCM, na bado TYMA wakaridhia kuwapa nafasi wa meza kuu Masheikh hawa wa Bakwata ni dalili kuwa TYMA nayo inakubaliana na "matusi" yale. "....hawa TYAMA naowanakubaliana na matusiyale ya CCMeli sisina watu dhaliliwa kuhongwa vibandiko vinginevyo wasingewapa hao (masheikh wa)Bakwata heshima ya kukaa pale", alisema Maalum Khamis. Hii sio mara ya kwanza kwa Waislamu kuingwa juu Shjeikh Jongona mwenzake Sheikh Mtulia. Miezi kadhaa ambapo baada ya masheikh hao kushindwa kutoa majibu ya kueleweka, Waislamu hao walitawanyika. Hivyo Waislamu katika mkutano ule wa TYMA walishangaa kuwaona tena masheikh hao. "...kule walikuja kwa sura ya (mkutano wa) Maimamu, leowamekuija na sura ya (mkutano wa) Waislamu wote... hakuna hata wabadili sura mara ngapi sisi tumekwisha wajua", alisema bwana mmoja aliyejitambulishakuwa ni Imama bila kutoja msikiti alikotoka. A. Baadhi ya vijana pia walilaumu jinsi mkutanohiuoulivoitishwa ambapowanasema TYMA ilitakiwa kuitishamkutanowa vijana wote wa Kiislamu badala ya kuwaita Waislamu wote. Waliemndelea kueleza kuwa aada ya kuwaita vijana kwa lengo la kutafuta "TYMA ni chombo chavijana lakini mpakaleoinaongozwa nawazee wa (umri)zaidi ya miaka 50. Sasa badala ya kutuita vijaja, wanakuimbilia kuwaita watuwote", alisema kijana mmoja ambaye alidai Katibu wa TYMA, Bw. Mtagwa aliwahi kuwa mwalimu wake. Hata huyo kijana hiuyo hakuwa tayari kufafanua kuwa kijana kwa miujibu wa Uislamu au katiba ya TYMA ni mtu wa umrigani. Alidha ilidaiwa navijana hao kuwa tangu kuundwa kwake TYMA, takribanimiaka20 iliyopita, viongozi wa jumuiyahiyo ya vijanawa Kiislamunchininiwale wale. Baadhi ya Waislamupiawamedai kuwa TYMA "imeibuka" baada ya kuwaonaWaislamuwameoneshamshikamano mkubwa katika hafla za Baraza la Idd na khitma ya Mwambechainakwambasasa maalumuwa Uislamunchini wanataka kuitumiajumuiya hiyo kuwagawa Waislamu. "Waislamunchi hii siku hizo tumeamka... maadui zetuwamekwisha tishika naDiamondJubilee (palipofanyika Baraza laIdd) na ile ya juzipale Islamic Centre (palipofanyika khitma ya Mwembechai), sana wsanataka kutuzuilia kwa hila. Hawataweza", alisema mama mmoja aliyejitambulishakwa jina moja tu la Situmai. "... na wamechelewa, kama TYMA na wenzao wanatakamshikamano kwa Waislam, basiwatutafute baada yaOktoba", aliongeza Bi Situmai, bila kufafanua ni kitugani kinachosubiriwa mweziOktoba mwaka huu. NBHali hiyokwa mujibuwa kutenda ya matukio muhimu kutaifa mwaka huu, mwezi Oktoba kutakuwa na uchaguzi Mkuuwa Raisna wabunge ao utakuwa ni wapili kuvishirikishavyama vingi vya siaasa nchini. Katika uchaguzi wa kwanza iliofanyika Oktoba1995, mgombea urais kwa wakati Chama cha Mapindizi kilimweka Bw. Benjamin William Mkapa alishsinda. |
YALIYOMO
Tahariri:
‘CUF tumejiandaa kuchukua serikali' Suala la Mwembechai lazua mtafaruku Mabadiliko ya katiba ya Zanzibar: CCM Z'bar ina nafasi ya ushindi MPASHO
NASAHA
Habari
za ndani
Ushauri
Nasaha
MAKALA
WAZO
LA WIKI
Makala
ya Kimataifa
Kalamu
ya Mwandishi
MAKALA
Riwaya
LISHE
|
|
|
|
|