NASAHA |
ISSN 0856-7042 Na. 082, JUMATANO
Januari 10 - 16, 2001
Gazeti hili hutolewa na TAMPRO, S.L.P. 72045,
Dar es Salaam, Tanzania
Wananchi
wamwambia Mkapa:
IMEELEZWA kuwa makuzi hafifu ya demokrasia nchini ya mechangiwa na kuwepo ndani ya chama tawala kwa wananchi ambao ni mbumbumbu wa demokrasia kwa vile bado wanaamini mfumo wa chama kimoja. Aidha imefafanuliwa kwamba umbumbumbu huo umewagubika
hata baadhi ya watendaji katika chama hicho ambao pia hukutana na wananchi
kama watendaji serikalini. Endelea....
|
Waislamu watakiwa kuwa watekelezaji wa maamuzi
WAISLAMU nchini wametakiwa kuyatekeleza yale yaliyoamuliwa na Mwenyezi Mungu (S.W.) na yakafundishwa kwao na Mtume wake (S.A.W.) kama moja ya ahadi juu yao. Aidha wametakiwa vilevile kutekeleza na yale ambayo
wao huyaamua kwa misingi ya dini yao na kisha wakaaomba dua kwa Mweneyzi
Mungu (S.W.) awawafikishie. Endelea...
|
Au Tuandikie kwa anuani hii: nasaha1420@yahoo.com |
|
|
|