An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 186 Shawwal 1419, Januari 29 - Februari 4, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Kupokelewa kwa malalamiko ya Waislamu:
Masheikh wasubiri ukweli wa Mkapa

Kajitia kitanzi shingoni

MASHEIKH wamemtaka Rais Benjamin William Mkapa kutimiza ahadi aliyoitoa wakati akijibu risala juu ya malalamiko ya Waislamu katika Baraza la Idd lililofanyika Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam wiki iliyopita.

Wakizungumza na ANNUUR kwa nyakati tofauti, Masheikh hao wamesema kwamba kwa kuwa kumekuwa na ahadi nyingi zinazotolewa na serikali bila ya kutekelezwa Rais kupokea malalamiko na kuahidi kuyashughulikia hakutaondoa wasiwasi walio nao juu ya kile walichokiita "sindano nyingine ya ganzi". Endelea..


YALIYOMO
Tahari 
Kama hakuna haki watu watachukua sheria mkononi 

Kupokelewa kwa malalamiko ya Waislamu: Masheikh wasubiri ukweli wa Mkapa 

Afariki baada ya kutokwa damu nyingi: Yadaiwa hakuwa na sh. 4,000 

Nyumba ya Wakfu iliyoporwa yarejeshwa 

Kamanda Gewe atakiwa amkamate Daniel 

Sheikh awasambaratisha walevi Liwale 

Msikiti wavamiwa na kuvunjwa milango, madirisha 

Mjue Usama bin Ladin -2 

Msikiti wa Mwinyimkuu wafanya sensa 

Njaa hakuna, tunategemea kula silaha 

Parole kwa mbinde! 

Mabaraza yawatetee Waislamu - Sheikh Bafadhil 

Hali ya Uislamu Lukulunge, Kongwa inatisha 

Waislamu Kondoa waagizwa kuyatunza magazeti ya ANNUUR 

I.P.C yatakiwa kujitangaza 

Kutoka magazeti ya zamani 
[Chifu Masanja katoka TANU kaingia Congress] [Bendera ya Congress imeangushwa] 

Sabato ni ya Waisraeli, Mungu alikwishaiondoa 
Na Muhibu Said  

Waislamu wachoma moto nguruwe 

Tume ya kubadili Katiba Kenya: Waislamu kuwakilishwa 

Waislamu Msonge waomba wanusuriwe 

Sayansi na Teknolojia 
[PELEKA FAX NCHI ZA NG’AMBO BURE! – (2)] 

Masomo ya Kiislam 
[Historia Kidato cha IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Tatu Uthman bin Affan] 

Barua za Wasomaji 
[Wajibu wa wasomi katika ummah wa Kiislamu] [Hotuba ya Rais Mkapa] [Ndoa za kuondoa nuksi Masheikh katazeni] [Serikali yetu inatuzamisha topeni] [Waislamu tuzinduke] [Viongozi wapenda haki hawatakiwi na serikali yaCCM Newala? ] 

Mashairi 
[Miaka 37 ya uhuru, lakini mhh!] [Mola wasitiri] 

Chakula na Lishe 
[Mwongozo wa mlo wa kila siku] 
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK 
fbk book