An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 184 Ramadhan 1419, Januari 15 - 21, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Ustadh Farid:
Kijana aliyejitolea kuwapa Da’awa watalii
 

BIASHARA ya utalii , kwa kiwango fulani imechangia mmomonyoko wa maadili mema kwa baadhi ya vijana huko Zanzibar. Hivi sasa limeibuka wimbi la vijana wanaoitwa papasi, wanaong’ang’ania kutembeza watalii kwa tamaa ya kupewa "kitu kidogo". Lakini Ustadh Faridi, wakati vijana wengiwe wanawafuata watalii kwa ajili ya kuwaomba omba, yeye amekuwa akiwaandama ili awape Da’awa juu ya Uislamu. Mwandishi Maalim Bassaleh anaelezea zaidi.  Endelea...


YALIYOMO
Tahariri 
Baada ya futari nzuri: Tuwatupie macho wenye njaa 

Rais Mkapa kuwa mgeni rasmi Baraza la Idd 

Ubungo yakumbwa na ukame 

Waumini, Masheikh Arusha wasutana kwa futari ya Mrema 

Dondoo za saikolojia 
Na. Abu Halima Sa Changwa 

Waislamu turejee kwa Allah 

MSADAT yazidi kutia moyo Tanga 

Mjue Usama bin Ladin 

MAFUNZO KUHUSU FUNGA YA RAMADHANI 

Michezo isiyoruhusiwa katika Uislamu 

Ustadh Farid: Kijana aliyejitolea kuwapa Da'awa watalii 

Hakuna Magharibi wala Mashariki: Uislamu ni ubinaadamu 
Na Abubakari S. Marwillo 

Ijue madrasati Mar-wa ya Dodoma mjini 
Na Abu Zuberi, Dodoma 

Ijue Madrasat Jadidul Fiqhyyat - Tabata Kimanga 
Na B. Mwakangwale 

Madrasat Hidayatul Muumini Mwadui 

Washindi wa mashindano ya Hadithi za Mtume (s.a.w.) wapatikana 

Madrasa Shafii Ujiji Kigoma yaonyesha umahiri wake 

Waanzisha mifuko kusaidia wagonjwa Dodoma 

Waislamu Kondoa waomba msaada kumalizia Msikiti 

Mnyororo wa imani-2 
Na Sheikh Bernard P. Nyangasa 

Kutoka magazeti ya zamani: 
Wanaoshitakiwa kwa uhaini kortini leo 

Jengo la Waislamu Moshi lageuzwa Kanisa la Walokole 
Na Mwandishi Wetu, Moshi 

Masjid Nurania yaswaliwa Ijumaa 
Na Rajab Rajab, Morogoro 

Jabal Hira kutoa mafunzo ya Kompyuta Morogoro 
Rajab Rajab na Mussa Ally, Morogoro 

Sayansi na Teknolojia 
[Internet ni nini?] 

Masomo ya Dini ya Kiislamu 
[Historia: Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Tatu Uthman bin Affan] 

Barua za Wasomaji 
[Waislamu hawawachinji wananchi Algeria] [Uchaguzi wa Sheikh wa Bakwata wa Mtaa] [Wito kwa Waislamu kufikia lengo la ibada] [Mafundi cherehani mjihadhari] [Pongezi Komandoo!]  

Mashairi 
[Ole wenu Marekani] [Iddi Mubaraka!] [Waitwao siasa kali] [Dimbwi la maji machafu] 

Chakula na lishe 
[Thamani ya mlo wa Uyoga] 
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book