An-nuur Logo   
 
 
 
 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na.157 Rabi' Awal 1419, Julai 10-Julai 16, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet


Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Sheikh Bafadhil aitaka Bakwata iwe mtetezi wa Waislamu Na Mwandishi Wetu

SHEIKH Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Mjumbe wa Kamati ya Maulamaa Taifa, Sheikh Omar Bafadhil ameitaka Bakwata kuwa mtetezi wa Waislamu badala ya kuwa mbali nao. ... Endelea
 

Hatimaye Mzee Katambo, Chata waachiwa

Na Mwandishi Wetu

WAZEE wawili waliowekwa rumande kwa miezi kadhaa wameungana na familia zao baada ya AN-NUUR kufichua kupuuzwa agizo la Rais kulikofanywa na baadhi ya wahusika. Endelea

Kitabu kipya cha Historia

YALIYOMO
 
TAHARIRI 

Maoni yetu: Prof. Juma Kapuya, vipi Muislamu usijue agenda za Waislamu? 

Hatimaye Mzee Katambo, Chata waachiwa 
Na Mwandishi wetu 

Polisi Newala wajenga Msikiti 

Sheikh Bafadhil aitaka Bakwata iwe mtetezi wa Waislamu 
Na mwandishi wetu 

Makala: Uinjilisti wa Mbuni haufai 
Na Rajabu Mbambwa, Kigoma 

Mussa Katambo: Mzee aliyewekwa rumande kwa kuandaa mihadhara 

Ukweli usiachwe 

Makala: Elimu ya ngono yapenyezwa tena Zanzibar 
Na Saidi Mzee  

Arusha wasema: Hongera Mhe. KK kwa kuwa mfano mwema 
Na Hussein M.,  Arusha 

Wanawake Songea kuandaa maonesho 
Na. Jumah Mbwana, Songea 

Kesi ya mgogoro wa Ardhi 
Na. Mustafa Adam 

AN-NUUR marufuku gerezani? 
Na Mwandishi Wetu 

Waislamu Karagwe wadai kusalishwa na imamu asiyejua kutawadha 
Na. Abu Abdallah 

Ofisi mpya za Rabita  
Na Mwandishi Wetu 

Barua za wasomaji 

Habari za Madrasa 

Masomo 

 

 
 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi:
Bonyeza hapa
Au
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book