A 'MUST READ' BOOK
The Life and Times of
Abdulwahid Sykes
(1924 - 1968)
The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika
By
Mohamed Said
 

kinachoelezea historia ya Tanganyika na harakati za Waislamu dhidi ya ukoloni wa Waingereza, kinapatikana katika maduka ya vitabu jijini Dar es Salaam.

Kitabu hiki ambacho ni matokeo ya utafiti wa kina uliofanywa na Mwanahistoria maarufu nchini Bwana Mohamed Said, kimeandikwa kwa lugha ya Kiingereza kwa makusudio maalum.