AN-NUUR
Na.157 Rabi' Awal 1419, Julai 10 - 16, 1998
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita
 
Kesi ya mgogoro wa Ardhi
Mshitakiwa adai eneo ni la ARC

Na. Mustafa Adam 

Kesi inayohusu mgogoro wa ardhi kati ya Waislamu na Wakatoliki ilianza tarehe J, baadaya kuahirishwa Januari kutokana na upande wa Wakatoliki kudai kuwa haukuwa na mashahidi. Januari 7,1998 kesi ilianza huku mashahidi wa R.C. na Hakimu kuamua kusikiliza mashahidi wa upande wa Waislamu. 

Waliotoa ushahidi kwa upande wa Waislamu walikuwa Mzee Sefu Jaharwa, Mbura Bakari Mleli,Isa Mdoe na Alli Omari Msangi. 

Kesi iliahirishwa baada ya kuwa mashahidi wa upande wa R.C.kuchelewa ikawa Julai 2,1998 ambapo mshitakiwa Stephano Richard (R.C.) alidai mbele ya Mahakama kuwa eneo linalogombewa ni la R.C. 

Katika mahojiano yaliyofuatia Bw. Stephano alikiri kwamba eneo linalogombewa lilikuwa la Waislamu ila akadai kwamba lilishataifishwa shule zilipotaifishwa. 

Hata hivyo upande wa Waislamu uliwasilisha Waraka Na. EDF P1/29/104 wa Wizara ya Elimu wa mwaka 1973 unaobainisha kwamba pamoja na kutaifishwa mashule. Majengo na ardhi hubaki kuwa mali ya wamiliki wa awali. 

Baada ya mashahidi wote wa upande wa Wakatoliki na Waislamu kutoa maelezo yao na kuhojiwa kesi iliahirishwa hadi Julai 16. 

Katika tarehe hiyo mahakama itahamia kwenye eneo la tukio Duma. 

Juu 
 

YALIYOMO
 

TAHARIRI 

Maoni yetu: Prof. Juma Kapuya, vipi Muislamu usijue agenda za Waislamu? 

Hatimaye Mzee Katambo, Chata waachiwa
Na Mwandishi wetu

Polisi Newala wajenga Msikiti 

Sheikh Bafadhil aitaka Bakwata iwe mtetezi wa Waislamu
Na mwandishi wetu

Makala: Uinjilisti wa Mbuni haufai
Na Rajabu Mbambwa, Kigoma

Mussa Katambo: Mzee aliyewekwa rumande kwa kuandaa mihadhara

Ukweli usiachwe 

Makala: Elimu ya ngono yapenyezwa tena Zanzibar 
Na Saidi Mzee 

Arusha wasema: Hongera Mhe. KK kwa kuwa mfano mwema 
Na Hussein M.,  Arusha 

Wanawake Songea kuandaa maonesho 
Na. Jumah Mbwana, Songea 

Kesi ya mgogoro wa Ardhi
Na. Mustafa Adam 

AN-NUUR marufuku gerezani? 
Na Mwandishi Wetu 

Waislamu Karagwe wadai kusalishwa na imamu asiyejua kutawadha 
Na. Abu Abdallah 

Ofisi mpya za Rabita 
Na Mwandishi Wetu

Barua za wasomaji

Habari za Madrasa

Masomo
 

 
 Kutoa maoni yako kuhusu ukarasa huu:
Bonyeza hapa
Au
Andika barua  kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita