An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania ISSN 0856-3862 Na.176 Shaaban 1419, Novemba 20 - 26, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Kondom sio kinga ya Ukimwi

Wananchi wengi wataendelea kuteketea kwa ukimwi kutokana na dhana potofu waliyo nayo kwamba kondomu ni jawabu katika kuzuia ukimwi.

Taarifa ya Shirika la Viwango nchini (TBS) iliyotolewa hivi karibuni na kunukuliwa na baadhi ya vyombo vya habari imewaonya wananchi waepukane na dhana kwamba kondomu zitawanusuru kuambukikizwa ukimwi.  Endelea...


Kesi mojawapo ya mihadhara yafutwa
  KESI mojawapo ya mihadhara iliyofunguliwa na serikali mwishoni mwa mwaka wa jana (1997) dhidi ya Waislamu sita imefutwa na mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Jijini hapo Novemba 13, mwaka huu.

Washitakiwa katika kesi hiyo walikuwa wakikabiliwa na tuhuma ya kutoa maneno yenye lengo la kukashifu Biblia Takatifu, Wakristo, Jeshi la Polisi na viongozi wakuu na kutishia usalama wa nchi. Endelea...


YALIYOMO
 
Maoni 
Kuwa na mawazo ya kufugwa tunajidharaulisha 

Sakata la mabucha  ya Nguruwe kuibuka upya 
Na Mwandishi Wetu  

Kondom sio kinga ya Ukimwi 

Bakwata yairushia polisi makombora Ngaramtoni 

MACHO YA SHUTUMA 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Serikali yatakiwa iwachukulie hatua wauaji 
Na Mwandishi Wetu 

Historia ya Msikiti wa Ngaramtoni 

Silaha yetu ni kura ya pamoja 
Na Alhaj Yusuf Kalala, Washington DC  U.S.A 

Anuani ya fikra 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Kuukaribisha mwezi mtukufu 

Tunahitaji "UN' ya Waislamu! 
Na Said  Rajab 

Kongamano la wanawake wa Kiislamu Newala lafana 

Umuhimu wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo - 2 
Na Ustaadh Kupa Pazi Said 

Kesi mojawapo ya mihadhara yafutwa 

Wasaidieni watoto wenye vipaji - Prof. Kilonzo 

Mahafali ya kidato cha nne Thaqafa: Wazazi wakumbushwa wajibu wao 

Wanafunzi Mwanza wadai haki za kuabudu mashuleni kwa usawa 
Na Iddi M. Katiba, Mwanza 

Saidianeni katika shida - Sheikh Abdallah 

Waislamu, Wakristo Rufiji watakiwa kuunda umoja 

Someni  muiokoe jamii kimaadili 

Acheni Shirki 

Kesi nyingine ya Waislamu Mwembechai yaahirishwa 
Na Muhibu Said 

Kusilimu kwa Wakristo kwaleta kero Mwanza 

Nzasa waomba msaada wa chakula, madawa 

Katibu wa Bakwata Moro ang'olewa Msikitini 

Masomo ya Dini ya Kiislamu 
[Historia: Form IV: Uendeshaji wa Serikali ya Kiislamu wakati wa Makhalifa

Barua za Wasomaji 
[Pamoja na kimya chenu tumemzika Katibu wetu] [Masheikh waache kujishughulisha na mambo ya laghwi] [Utabiri wa kuibuka Uislamu] [Marekani iache ubabe Iraq

Mashairi 
[Wababe wakitawala] [Mauaji Mwembechai

Chakula na lishe 
[Umuhimu wa chakula katika shule za awali] 
 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book