An-nuur Logo
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 188 Shawwal 1419, Februari 12 - 18, 1999
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Waasisi wa TAA waibuka kupigania haki zilizoporwa
  WAZEE waasisi wa TAA na kisha TANU wameibuka na kuanza kupigania haki zao zilizoporwa baada ya uhuru.

Katika hatua yao ya awali wakongwe hao na veterani wa harakati za kumkomboa Mtanganyika wameifufua Al Jamiatul Islamiya Fi Tanganyika (The Muslim Association of Tanganyika). Endelea...


YALIYOMO
Tahari 
Tusirudishane nyuma 

Mwaka mmoja wa mauaji ya Mwembechai: Waliouawa ni wanne

Waasisi wa TAA waibuka kupigania haki zilizoporwa

Kuhujumiwa Waislamu kielimu: Mzazi adai mwanafunzi Adam Rashid kafelishwa

Maoni yetu: Tuondoleeni wenye mikono ya damu

MARADHI YA KISAIKOLOJIA: MULTIPARAPHILIASIS

Askari wa Tume ya Jiji wapora mkaa

Kuchangia Radio Kheri Broadcasting Station

Yesu Kristo na Yohana Mbatizaji
Na BERNARD B. MWENDA

Wakereketwa CCM wawakosha wauaji wa Mwembechai
Na Idd Kikong’ona, Morogoro

Ufugaji holela wa nguruwe waikumba Dodoma
Na Abu Zubeir, Dodoma

Watembelea na kusaidia wagonjwa Arusha

Mkuu wa wilaya awatimua Masheikh ofisini kwake
Na Mwandishi Wetu, Morogoro

Kutoka magazeti ya zamani
[Mawaziri wa Jamhuri mpya nchini  watangazwa] [Mgambo wavamia waumini] [Kesi ya maasi imeanza] [Bw. Hanga kaenda Nairobi] [Jen. Amin atua Mwanza]

Sayansi na Teknolojia 
[Windows: Mambo Mazuri ya Kuyajua] 

Masomo ya Kiislam 
[Historia Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Tatu Uthman bin Affan] 

Barua za Wasomaji 
[Waziri Mkuu Sumaye tukaongelee wapi?] [Mauaji ya Mwembechai hayafai kukemewa?] [Rais anatukebehi Waislamu] [Kijiji cha Mazizi chavunja Ijumaa] [Mh. Kitwana Kondo usikatishwe tamaa] [NSSF nataka pesa zangu] [Wanafunzi Waislamu mnakimbia Jihad!]  

Mashairi
[Ni urithi wa shetani] [Msisubiri kampeni]

Chakula na Lishe 
[Kauli hii ya serikali itatumaliza Watanzania kwa njaa] 

Kumbukumbu ya mauaji Mwembechai 
[Maazimio ya Maimamu Dar]
 


Bonyeza hapa
kushriki mjadala au kutoa maoni juu ya habari hizi na masuala mengineyo ya Kiislamu kwenye Baraza ya Wasomaji

Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org
SIGN OUR GUESTBOOK 
fbk book