AN-NUUR
Na.154 Safar 1419, Juni 19-25, 1998
 
Home 

Links 

Islam Tanzania 

Matoleo ya nyuma 
 
 

Ashitakiwa baada kusilimu 

ya kusilimuNa Mwandishi Wetu, Tanga 

MFANYAKAZI wa Shirika la Simu Mkoani Tanga, Bwana Salim Songoro ameshtakiwa baada ya kuamua kuacha Ukristo na kuingia Uislamu. 

Bwana Salim ambaye kabla akijulikana kwa jina la Samwel Manfred Songoro kutoka dhehebu la Kikatoliki, alifikishwa mahakamani kwa mara ya mwanzo mnamo mei 21,1998. Wanaomshtaki ni aliyekuwa Bi. Fausta Mathayo akishirikiana na wazazi wake. 

Katika shtaka hilo nambari 299/98 kwenye mahakama ya mwanzo; Bwana Salim anadaiwa kuwatelekeza mkewe na watoto wake na kuwawacha bila huduma yoyote. Akizungumza mbele ya Waislamu wenzake Bana Salim amesema kuhusiana na madai hayo, tayari amewahi kushinda rumande, na kwamba kwasasa yuko nje kwa dhamana. 

Akiendelea kujieleza amekanusha kuwa ati amewatelekeza watoto wake. Pamoja na kwamba hamuhudumii Bi Fausta ambaye si mke wake tena, lakini amewapangishia chumba kwa ajili ya watoto wake watatu aliozaa naye na kuwapa kila msaada chini ya uwezo wake. 

Huku mshtakiwa akiwa nje kwa dhamana na wazazi wa Fausta wakiwa wamemkamia vibaya Bwana Salim, Waislamu nao tayari wameanza kuchangishana fedha za kuendeshea kesi ambayo kwa mara ya pili ilisikilizwa Juni 4,mwaka huu. 
 
 

 
 

YALIYOMO
 

TAHARIRI  

Maoni yetu: 
Kama hodari wa kuhoji Tuhoji pia Tume ya Majeshi ya Vita 

Waraka wa Abu Aziz  

Unafiki si suala la wakati fulani  
  
Wakatoliki wawili wasilimu 

Ashitakiwa baada kusilimu 

Historia ya harakati za ukombozi wa Kashmir 

Sheikh wa Wilaya Same ahimiza Waislamu kushiriki tamasha 

Sheikh awataka wanawake wajistiri 

Madrasat Al-Hujuun washerehekea mwaka mpya 
 
Kutoa talaka ovyo ovyo ni kuchupa mipaka ya Allah - Ust. Khamis Salim 

Uislamu ni mfumo wa maisha - Mbukuzi 

Pole ya Mwinjilisti Kusupa ni kejeli 
 

 
 Maoni yoyote kuhusu ukarasa huu yapelekwe kwa: webmaster@islamtanzania.org
 
An-nuur Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita