An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania ISSN 0856-3862 Na.170 Jamadul Akhir 1419, Oktoba 9 - 15, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam Toleo la Internet



 
Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita


 Nguruwe marufuku Kinondoni – Tume

  Na Kassim Juma

  TUME ya Jiji Kanda ya Kinondoni imetoa amri ya kusimamisha uuzaji wa nyama ya nguruwe katika maeneo mchanganyiko. Endelea...

Waislamu wasisitiza:
Nyumba ya Waziri Mkuu ni ya Waislamu
 
Na Mwandishi Wetu

WAISLAMU wamesisitiza kwamba nyumba iliyochukuliwa na Waziri Mkuu ni ya Waislamu na inapaswa kurejeshwa kwa wenyewe.

Pamoja na kuirejesha, Waislamu wamedai kwamba ni lazima serikali ilipe malimbikizo ya kodi toka ilipoipora nyumba hiyo mwaka 1971. Endelea..


YALIYOMO
 
TAHARIRI 
Tutaendelea kudhalilishwa mpaka lini ? 

Waislamu wasisitiza: Nyumba ya Waziri Mkuu ni ya Waislamu 
Na Mwandishi Wetu 

Kuchomwa nyumba za wananchi 
Na Mwandishi wetu 

Maoni Yetu: 
Maisha ya Mtanzania yanapokosa thamani 

Nguruwe marufuku Kinondoni – Tume 
Na Kassim Juma 

Watanzania waanzisha Baraza la Waislamu Marekani 
Na Mwandishi Wetu 

Wanawake Hai wamtaka Rais azungumzie mauaji ya Mwembechai 
Na Mwandishi Wetu 

‘Serikali haiwezi kuzuia rushwa’ 
Na Kassim Msuya 

Makala ya Kimataifa 
Nani gaidi: Slobodan Milosovic au Usama bin Laden 
Na Mwandishi Wetu 

Afghanistan washindi dhidi ya uvamizi karne zote 
Na Faiza bint Abubakar 

MAKALA: 
Demokrasia ya rushwa ! 
Na Mwapwani Mohamed 

Tujikwamue na janga la utwaghuti 
Na I. Kikong’ona 

MAONI: 
Nini Jihad na nani Mujahidina ? 

MAKALA: 
Marekani ni magaidi wa haki za binadamu 
Na MUSSA ALLY 

Tufuate Uislamu kwa vitendo na siyo kwa maneno -2 
Mwandishi: Maalim Ali Bassaleh 

Tusihalalishe mauaji ya raia kwa kisingizio cha ‘wananchi wenye hasira’ 
Na Mwandishi Wetu 

Historia ya sayansi na tiba 
Na Dk. Amur A.A

Msiwageuze watoto ombaomba 
Na H.E. Omar 

MAKALA YA JAMII: 
Profesa Malise Kaisi acha uzushi dhidi ya Mtume Muhammad 
Na Sheikh Aboubakar Mwilima

Sensa ya majaribio: Wananchi watofautiana na serikali 
Na Rajab Rajab - Morogoro 

Uislamu ulivyoingia Zanzibar -3 

Mwembechai wageuka Hame, Bado walindwa na polisi 
Na Badru Kimwaga 

Waislamu Moro waendelea kusaidia wagonjwa 
Na Rajab Rajab - Morogoro 

Mjadala wa Katiba ya Shirikisho kuzinduliwa Dar Jumapili 
Na Mohamed Othman 

Walimu wa dini Tanga wapokea Baiskeli 
Na Abu Said 

Mafundisho ya Quran 
Kutoa katika njia ya Allah: Al-Baqarah aya  264 

Barua za wasomaji 
[Tunaifanyia mzaha Hijab mashuleni ?] [Tanga tumechoka kutukanwa na viongozi] [Kulikoni TAMSA] [Wasichana tunanyanyaswa shuleni Kigogo] [Kuongeza Wizara ni kuongeza mzigo] 

Masomo ya dini ya Kiislam 
[Historia - Form IV: Maoni tofauti kuhusiana na  uchaguzi wa Khalifa wa kwanza] [Qur’an Form V: Revelation - Divine revolutionary Guidance to mould the course of History] 

Chakula na Lishe 
Vitu vinavyoweza kuwemo katika vyakula 

 
 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book