An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania
ISSN 0856-3862 Na. 181 Ramadhan 1419, Desemba 25 - 31, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

Hoi hoi zatawala ziara ya Mwinyi Mwanza
  ZIARA ya Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi mkoani Mwanza hivi karibuni imeacha gumzo na historia ya aina yake kutokana na jinsi alivyopokelewa na wananchi.

Japo ziara hiyo ilikuwa ni ya kidini, watu wa dini zote walijitokeza kumshangilia kila alipopita. Endelea...


YALIYOMO
Tahariri 
Hakuna Idd kwa wanafunzi Waislamu mwaka huu 

Baada ya wanafunzi Wakristo kusherehekea Krismasi: Wanafunzi Waislamu kuikosa  Id el Fitr 

Hoi hoi zatawala ziara ya Mwinyi Mwanza 

Waislamu Tunduma waswali ndani ya kilabu cha ulanzi 

MARADHI YA KISAIKOLOJIA: FROTTEURISM 

Barabara za Tabora zimepitwa na wakati 

Jicho la Uzalendo: Nihiari yetu kuendelea kujidanganya! 
Na Sompo wa Kahambwe 

Kuanza na kwisha mwezi wa Ramadhani 

Taarifa ya Kamati  juu ya yaliyotokea Mwembechai 

Hotuba ya Mwenyekiti wa Wanawake wa Kiislamu katika Kongamano lililofanyika Masjid Nnuur Sinza  19/12/1998 

Maazimio ya kongamano la wanawake wa Kiislamu 

Waislamu kijijini Kidunda Moro wahitaji mwalimu 

Waislamu Mtwara wadai jengo la Wakfu kwa CCM 

Wakati Makanisa yakimeremeta: Msikiti wageuka gofu Sanya Juu 

Sheikh Khalifa Suleiman afariki dunia 

Sheikh wa wilaya ya Lushoto afariki 

Ijue Madrasat Riyaadhwa ya mjini Dodoma 

Somo la Zaka 

Maiti ya Muislamu yasusiwa 

Mwinyi apongeza juhudi za kulea yatima Mwanza 

Tuhuma za kupindua uongozi wa Bakwata: Sheikh Hamim Boza akanusha kuhusika 

Kuongezeka kwa ajali za barabarani 

Njia ya uzimani ni nyembamba,  waionao ni wachache - 4 
Na Yasin Valerian Massawe 

Matajiri wahimizwa kutoa zaka 

Saggaf awataka watoto wahifadhi Qur'an 

Waislamu watakiwa kujitolea kupigania dini yao 

Kesi  nyingine Mwembechai yaahirishwa  

Sayansi na Teknolojia 
[Kuirekebisha Modem Yako] 

Masomo ya Dini ya Kiislamu 
[Historia: Form IV: Upinzani dhidi ya Serikali ya Kiislamu wakati wa Khalifa wa Pili Umar Bin Khatab

Barua za Wasomaji 
[Upendo wa Wakristo uko wapi?] [Kweli wapo waliosoma hawakujua] [Kongamano Newala laleta mafanikio] [Udini, ubinafsi umekithiri kwa viongozi wa serikali Masasi] [Sumaye rudisha pesa hiyo]  

Mashairi 
[Ni cheche za Qur'ani] 

Chakula na lishe 
[Saumu na lishe ya mama mjamzito] 
 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book