![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
Nzasa wamtaka Mkapa awaonyeshe pa kwenda
Wananchi waliochomewa nyumba zao katika kijiji cha Nzasa wamesema wanayaelekeza macho yao kwa. Rais Benjamin William Mkapa kwamba ndiye atajua wapi awapeleke.
Wamesema kwamba wao ni wakazi wa Nzasa toka enzi na enzi kabla hata eneo la Kazimzumbwi kutangazwa kuwa ni msitu. Endelea...
Mishikaki ya nguruwe
Moshi yachomwa mbele ya Msikiti
Na Mwandishi Wetu
NYAMA ya nguruwe imekuwa ikichomwa na kuchemshwa hatua chache kutoka Msikiti wa Suni Mjini Moshi na kuuziwa wapita njia.
Vibanda viuzavyo nyama hiyo vipo
karibu na Ofisi za Mabasi ya Shabaha na imekuwa ni kero kubwa kwa wananchi
kutokana na harufu hiyo ya Mishikaki ya nguruwe. Lakini ukaribu wa msikiti
kumefanya kero iwe kubwa zaidi. Endelea...
TAHARIRI
Serikali iwahurumie wananchi wake KUCHOMWA MOTO NYUMBA ZA WANANCHI: Nzasa wamtaka
Mkapa awaonyeshe pa kwenda
Mishikaki ya nguruwe Moshi yachomwa mbele ya Msikiti
MAONI YETU:
Upimaji huu mpya ni wa nini
TANGAZO LA HIFADHI YA MSITU WA KAZIMZUMBWI Ndoa si lengo, ni wasila wa kufikia lengo
Makala:
Goda Muslim School, Manzese
Utabiri sahihi wa kuibuka kwa Uislamu
Historia ya mgogoro wa Nzasa
DUMT watoa msaada kwa walioathirika Nzasa
UCHOMAJI NYUMBA NZASA: Wafadhili wana mchango
gani?
Mafundisho ya Quran
Barua za wasomaji
Masomo ya dini ya Kiislam
Chakula na Lishe
|
|
![]() |