An-nuur Logo 
Gazeti la Kiislamu la kila wiki - Tanzania ISSN 0856-3862 Na.175 Rajab 1419, Novemba 13 - 19, 1998
Gazeti hili huchapishwa na Islamic Propagation Centre, Box 55105, Dar es Salaam
Toleo la Internet

Home Links Islam Tanzania Matoleo yaliyopita

 Katibu wa Baraza Kuu azikwa Dar
 
Na Mwandishi Wetu

WIKI moja baada ya kuikumbusha serikali ijiunge na Shirika la OIC, Katibu wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Abas Kilima amefariki dunia katika ajali ya gari alfajiri ya Jumamosi Novemba 7, mwaka huu.

Kwa mujibu wa mdogo wa marehemu, Bw. Ali Kilima, ajali hiyo ilitokea Chalinze mkoa wa Pwani ambako marehemu alikuwa njiani kurejea Jijini akitokea Kondoa kuhudhuria mazishi ya mwanawe aliyefariki dunia mwanzoni mwa wiki iliyopita.  Endelea..


YALIYOMO
 
Maoni 
Kuvuja kwa mitihani: Tuweni wakweli kwa nchi yetu 

Katibu wa Baraza Kuu  azikwa Dar 
Na Mwandishi Wetu 

Ubabe wa madhalimu kuzimwa: 
Na Mwandishi Wetu 

MACHO YA SHUTUMA 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Wazo mpachiko (Programmed mind) 
Na Abu Halima Sa Changwa 

Ta'azia: Abbas Shaaban Kilima 1938-1998 

Wasemavyo Wanaharakati 

Mdahalo kati ya Waislamu na Wakristo- 4 
Na Nandenga wa Mkomidachi 

Siri ya Miujiza 
Na Sheikh Bernard P. Nyangasa 

Umuhimu wa Elimu ya Awali kwa watoto wadogo 
Na Ustaadh Kupa Pazi Said 

Ifahamu Madrasat Ghazal Muslim - Moro 
Na Mussa Ally, Morogoro 

Pamoja na sala, tusimamishe zakah 
Na Abubakari S. Marwillo 

Aina za maudhi yaliyoharamishwa juu ya Muislamu 
Na. Ramla 

Israi na Miiraji ni miujiza 
Mwandishi: Maalim Bassaleh 

Pamoja na ahadi ya Serikali kuzifuta: kesi za mihadhara zaendelea mahakamani 
Na Muhibu Said 

Waislamu Uluguruni  Moro wazama kwenye matambiko 

Imarisheni miradi ya elimu -  Prof.  Mikidadi 
Na Mwandishi Wetu, Dodoma 

Teknologia: Jifunze Kuunganisha Kompyuta (5) 
Na Hassan Omar 

Mafunzo ya Qur'an 
Shetani anawaogopesha wenye mali kutoa 

Chakula na lishe 
[Kansa ya tumbo] 

Matangazo 

 

 
Kutoa maoni huhusu kurasa hizi: Bonyeza hapa 
Au 
Tuandikie kwa anuani hii: webmaster@islamtanzania.org 
SIGN OUR GUESTBOOK
fbk book